Pages
▼
NI KUELEKEA MAKABURINI - MAJONZI TELE SIKU YA LEO, BYE THE GREAT KANUMBA
Kuelekea makaburini, gari lililobeba Maiti
Umati wa watu ukisindikiza mwili wa marehemu makaburini
Wananchi wanakimbia kuelekea makaburi ya kinondoni uku wakiita jina la kanumba RIP Steven Kanumba
Hapa ndipo atakapolala marehemu
Watu hadi juu ya miti makaburini
Polisi sasa wakifanya kazi yao
Wema sepetu azimia makaburini kabla ya mwili wa kanumba kufika
Leo Askari kazi wanayo
Asante kwa matukio yanayoendelea hapo Leaders Club na makaburini kupitia Twitter Ndugu Michael Mlingwa
Tunashukuru sana kwa taarifa izi jamani wengine hatukuweza kufika
ReplyDelete