Pages

Thursday, April 12, 2012

AJALI MBAYA, LAKINI AMEPONA

Rafiki yetu aliyepata ajali kwenye gari hili apona, aliumia kidogo na kuopata mshtuko, inasemekene alikua anarudi home!akagongwa na roli kwa nyuma then akenda gonga ukuta huo hapo mbele, imetokea Mbeya

No comments:

Post a Comment