Jumapili ya tar 18 March 2012. kuanzia saa 9 Alasiri, tutakuwa Mlimani City ndani ya duka la Shear Illusions Kutakuwa na shughuli ya ku sign CD zitakazokuwa zinauzwa Zoezi hilo ni la saa nzima na nusu tu (9:00 - 10:30 jioni) Kwa sasa CD ya album YA 5 itakuwa inapatikana dukani hapo tu (SHEAR ILLUSIONS), tutawafahamisha zaidi sehemu zingine mapema iwezekanavyo Support cha kwako, nunua original copy tu
Ni collection ya nyimbo kutokea Asubuhi ya 2000. Machozi, Binti, Moto, Shukrani na baadhi mpya ambazo hamjawahi kuzisikia. CD ina jumla ya nyimbo 25
No comments:
Post a Comment