Pages

Sunday, March 11, 2012

RURAL LIFE: USAFI JAMANIIIIIIIIII

Umeona zana hizo kwenye mkeka? kuna Nyumbe 2, Kioo na Mashine ya kunyoa ndevu
 Hapo anaosha mashine yake kazi ianze
Nani alisema bila kwenda Salon, sipendezi?
Shughuli ikiendelea
Hapa shughuli ikiwa ukingoni kabisa, na Mbwa wake pembeni, Radio akisikiliza pia
 Kidevu kisafiiiiiiiiiii

No comments:

Post a Comment