Pages

Thursday, February 16, 2012

Uppsala - Sweden

 Uppsala Cathedral

 Virgin Mary Statue
Nimefurahi nilipoona kuna Visitors wa Blog hii wanaishi Uppsala-Sweden mkanikumbusha hilo kanisa kubwa ambalo niliwahi kulitembelea nikiwa huko, lilijengwa Karne ya 13, Mfalme wa Sweden Gustav Vasa na wake zake watatu walizikwa ndani ya  kanisa hilo, pia wamezikwa watu wengine wengi tu kanisani humo, na sasa watalii wanaenda kutembelea kanisa hilo kuona mengi yaliyomo humo na kufahamu historia ya kanisa hilo, ni zuri sana huwezi jua ni la kitambo..............endeleeni kutembelea blog yetu hii zaidi muweze kupata radha tofauti hasa za maisha yaendeleayo katika ulimwengu wetu huu

Yours truly Mrs CA

No comments:

Post a Comment