Pages

Friday, February 17, 2012

TRADITIONAL INDIAN WRESTLING

 Kila Taifa lina mila na tamaduni zake, wahindi nao hawako nyuma katika swala zima la mieleka
 Kitu cha mchangani, unatoka vumbi limejaa hadi puani
 Mashabiki lazima wawepo kushuhudia mtanange mzima, na Majaji pia
 Wewe utaua mwenzio
 Hapo sasa lazima kieleweke na mshindi apatikane
 Jamani sijui analia? au kashindwa game?

Na mataji wanavishwa kwa anayeshinda 
Kupata uhondo zaidi ingia   Hapa

4 comments:

  1. hahahahaaaa da Ester jamani nimechekaaa mie sina mbavu duh huu mchezo wao ni hatari maana wanaweza kunyofoana viungo lol!!

    ReplyDelete
  2. hahahaha Majoy yaani nimecheka mno, maana wanavyobinuana ndo balaa, viungo vina hatari hapo

    ReplyDelete
  3. hahaha hizo hazifai kwakweli, usiende kama zipo

    ReplyDelete