Pages

Saturday, February 18, 2012

SASA HAPO KANAONAJE KANAPOPELEKA KITI?

2 comments:

  1. Ahaha da Ester umenikumbusha marehemu babu yangu alikuwaga akiniambia kuwa binadamu hatuishi kwa macho uyaonayo wewe, kwani hayo macho ni kipamba USO macho tunayopaswa kutumia ni macho ya moyo, yanaongoza vizuri sana Sasa ndo nimeyaona hapo ahaha

    ReplyDelete
  2. hahahahha ni kweli aisee, babu zetu walikuwa wanaona mbali sana na walikuwa na uhakika na wayasemayo

    ReplyDelete