Pages

Friday, February 10, 2012

MWENGE - TEGETA ROAD CONSTRUCTION

Bara bara ya mwenge tegeta ujenzi umepamba moto, picha za chini zinaonyesha ujenzi wa bara bara hiyo unavyoendelea, twaisubiri kwa hamu iishe










3 comments:

  1. Kwa hapo kusema kweli wamejitaidi natamani zimalizike tuone zitakavyokuwa:)

    ReplyDelete
  2. hata mimi nasubiria kwa hamu, na je foleni zitapungua?

    ReplyDelete
  3. duh hizi picha zinanifanya ni miss home kishenzi.no place like home

    ReplyDelete