Pages

Saturday, February 25, 2012

MTAANI

Hivyo vishimo hadi vimeanza kuota nyasi
 Maeneo ya Block 41 - Kinondoni
 Dereva na Abiria wake
 Dereva na abiria wake - Kariakoo
 Maeneo ya Madale karibu na Kiwanda cha Cement Wazo, kuna watu tuwalikuta wanachota maji haya na kuyaweka kwenye Madumu yale ya Lita 20, sikuweza kufahamu mapema kama wanaenda kuyatumia kwenye nini
 Madale
 Huku Magari makubwa yako busy sana hasa katika ubebaji wa Moram na Mchanga


Ukiwa Eneo la Wazo karibu na Kiwanda cha Cement, upande wa pili unaonekana hivi

No comments:

Post a Comment