Pages

Saturday, February 18, 2012

DUKA LA KITU CHA ARUSHA a.k.a. GANJA

Ukiona sehemu wameandika coffee shop maana yake ni panauzwa bangi sio kahawa, hili duka lipo Uholanzi,wameweka na picha ya jani kabisa kuwajulisha wadau kuwa kitu kipo.

Asante sana Mdau wa blog yetu kutoka  Amsterdam

No comments:

Post a Comment