Pages

Tuesday, February 7, 2012

Amsterdam This Week

Watu wanakula bia juu ya canal (mitaro ya maji) iliyoganda barafu/ice. Ila inakaguliwa na mamlaka za hali ya hewa kwamba snow inatosha kuhimili watu hapo juu.

Asante sana Mdau Kutoka Amsterdam

5 comments: