Picha hizi alizinasa wakati akielekea kusalimia kijijini kwao TUKUYU wilaya ya RUNGWE mkoani MBEYA, "hivyo nilianza kuzinasa nikiwa njia panda Uyole nikielekea TUKUYU" anasema mdau
Kilimo kwanza mahindi yamestawi vizuri kabisa
Akina mama wakiuza ndizi kando kando ya bara bara -Stand
Dukani wateja wakinunua mahitaji mbalimbali, vikiwemo viatu
Watu busy na shughuli zao
Maharage ya Mbeya, maji mara moja
Nyanya za huku maranyingi ni kubwa na nzuri hata ukiziangalia
Asante sana Mdau Michuzi Jr. kwa kuwakilisha
nimefurahi nimejisikia kama nipo huko na pia nimetamani hivyo vyakula.
ReplyDeleteuzuri wa vyakula hivi maranyingi huwa ni natural, havijafanyiwa uchakachuaji sana
ReplyDeleteMpendwa mbona unanifanya ntake kuja Leo Ali sina likizko?? Mahindi jamani nataka la kuchoma likilokwosha jaa chumvi ya mchanga oh tamu hilo. Shukrani kwa mdau.
ReplyDeleteDidnt understand anything on this post but i enjoyed seeing the photos
ReplyDelete-Nico
www.SatinAndSalt.com