tag:blogger.com,1999:blog-435842485231316820.post5743160113665299449..comments2023-09-25T21:45:02.798+03:00Comments on Rural and Urban: GHANA VP TO BE SWORN IN AS NEW PRESIDENTInterestedtipshttp://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-435842485231316820.post-60150051040969751822012-07-26T15:33:15.784+03:002012-07-26T15:33:15.784+03:007 Nenda, ukale chakula chako kwa kushangilia na ku...7 Nenda, ukale chakula chako kwa kushangilia na kunywa divai yako kwa moyo mchangamfu, kwa sababu tayari Mungu wa kweli amependezwa na kazi zako. 8 Katika kila pindi, mavazi yako na yawe meupe, wala kichwa chako kisikose mafuta. 9 Furahia maisha pamoja na mke unayempenda siku zote za maisha yako yaliyo ya ubatili ambayo umepewa na Yeye chini ya jua, siku zote za hali yako iliyo ya ubatili, kwa maana hilo ndilo fungu lako maishani na katika kazi yako ngumu unayoifanya kwa bidii chini ya jua. 10 Yote ambayo mkono wako unapata kufanya, yafanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi, mahali unapokwenda. _Mhubiri 9:7-10ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-435842485231316820.post-24243945158997811292012-07-25T19:54:04.160+03:002012-07-25T19:54:04.160+03:00Na huyu Adui twamuogopa mnoooNa huyu Adui twamuogopa mnoooInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-435842485231316820.post-82282936816933063242012-07-25T14:26:39.329+03:002012-07-25T14:26:39.329+03:00Hakika kifo ni adui yetu maishani.Hakika kifo ni adui yetu maishani.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com