tag:blogger.com,1999:blog-435842485231316820.post2622888977304590043..comments2023-09-25T21:45:02.798+03:00Comments on Rural and Urban: Is YOUR child sending sex texts at school?......11 per cent of teenagers aged 13 to 16 have texted nude photographs of themselvesInterestedtipshttp://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-435842485231316820.post-86207400487152583832012-07-19T15:17:55.954+03:002012-07-19T15:17:55.954+03:00emu-three mimi kwa nafsi yangu hadi leo napingana ...emu-three mimi kwa nafsi yangu hadi leo napingana na issue ya kumpa mtoto simu, simu kwa mtoto ni rahisi kudanganyika sanaaaaa, sasa akiwa na simu ni rahisi pia kukutana na vishawishi....yaani tujitahidi kuwatunza tu kwenye maadiliInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-435842485231316820.post-72587627725608675572012-07-19T13:36:39.601+03:002012-07-19T13:36:39.601+03:00Kazi kweli kweli, ulezi ni mtihani wa aina yake, m...Kazi kweli kweli, ulezi ni mtihani wa aina yake, maana ukitaka kutumia mbinu za kizamani, hazifai kwa sasa, kuchapa mtoto ni kukiuka haki za watoto.<br /> Sasa hivi kuna tatizo la utandawazi, kila kitu kipo wazi, huwezi kumficha mtoto, swali ni je ni muhimu kumpa mtoto wako simu aende nayo shuleni?emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com